Announcements

Posted On: Nov 24, 2023


MAFUNZO YA NGAZI YA UELEWA KWA KIWANGO CHA ISO 15189:2022 (MEDICAL LABORATORIES — REQUIREMENTS FOR QUALITY AND COMPETENCE)

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeandaa mafunzo ya ngazi ya uelewa (awareness) kwa kiwango cha ISO 15189:2022 (Medical Laboratories - Requirements for Quality and Competence). Mafunzo haya yatafanyika tarehe 2023-12-13 katika ofisi za TBS Makao Makuu Ubungo Dar es Salaam, kuanzia saa 3.00 asubuhi.

Kwa maelezo zaidi fungua link ifuatayo:

tangazo