Announcements

Posted On: Sep 26, 2022


SEMINA ELEKEZI KWA WAAGIZAJI, WAFANYABIASHARA NA WAMILIKI WA MAGHALA NA MADUKA YA JUMLA YA CHAKULA NA VIPODOZI MKOANI MWANZA

Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limeandaa semina elekezi kwa waagizaji, wafanyabiashara na wamiliki wa maghala na maduka ya jumla ya chakula na vipodozi mkoani Mwanza kwa lengo la kukuza uelewa ili kukidhi matakwa ya Viwango vya bidhaa za chakula na vipodozi.

Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;

tangazo la wadau mwanza