Announcements

Posted On: Apr 14, 2024


TAARIFA KWA UMMA KUHUSU USALAMA WA BIDHAA ZA VIPODOZI VYA KUONDOA NYWELE MWILINI (HAIR REMOVAL PRODUCTS)

Hivi Karibuni, kumekuwepo na taarifa inayosambaa kuhusu usalama wa bidhaa ya “Blue ValleyHair Remover Cream’’ ambayo hutumika kuondoa nywele mwilini kama mbadala wa kunyoa kwa kutumia vifaa kama wembe na mkasi. Bidhaa ya “Blue Valley Hair Remover Cream’’ imesajiliwana TBS na kupatiwa cheti cha usajili namba TBS/EZ/C/PROD/2023/5526 hivyo ni salama kwamatumizi husika.

hair removal tangazo