Announcements
Posted On: Jul 20, 2022
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI KUHUSU WAAGIZAJI WA MAGARI YALIYOTUMIKA KUTOKA JAPAN
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) lilitoa taarifa kuwa kuanzia leo tarehe 20 Julai 2022, magari yote yaliyotumika (used motor vehicles) yanayotoka nchini Japan yatakuwa yanakaguliwa nchini Japan kabla ya kuja Tanzania kwa utaratibu wa Pre-Shipment Verification on Conformity to Standards (PVoC).
Kwa taarifa zaidi fungua link ifuatayo: