News
30-01-2025
Check expiry to avoid health risks
Events
-
MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA TBS
21-03-2026Dar es salaam and Dodoma, Tanzania -
EAMET Regional Metrology Conference
28-01-2026Mombasa, Kenya -
Editors Forum
16-09-2025TBS, Ubungo Dar es Salaam
Announcements
-
10-05-2026
Shirika la Viwango Tanzania linapenda kutoa ufafanuzi kwa umma juu ya upotoshaji uliochapishwa kwenye mitandao ya kij...
-
08-05-2026
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuutaarifu umma kuwa, tumekamilisha zoezi la...
-
05-05-2026
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuutaarifu umma kuwa ofisi yake ya DODOMA il...
Announcements
Posted On: Jan 30, 2025
TANGAZO LA MNADA WA HADHARA
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuujulisha umma kuwa kutakuwa na mnada wa hadhara tarehe 15-02-2025, 16-02-2025 na 22-02-2025 katika ofisi ya TBS Ubungo - Dar es Salaam na ofisi za Kanda ambapo jumla ya mali 535 zitauzwa.
Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;
tangazo la mnada wa hadhara 2025