TBS hutoa huduma za Ushauri elekezi katika maeneo ya Usafirishaji, Uhakikisho wa UBora na Udhibiti wa Ubora , Metrolojia (Sayansi ya Vipimo) na Upimaji (SQMT).
TBS hutoa huduma mbalimbali za ushauri wa kitaalamu katika sekta tofauti zikiwemo ujenzi na Majengo, uhandisi wa mitambo, Teknolojia ya Nguo na Ngozi, Teknolojia ya habari na Mawasiliano (TEHAMA) , Uhandisi wa kemikali na Michakato ya Kiwandani, usindikaji wa Chakula pamoja na Usimamizi wa Mzingira.
Shirika hutumia ujuzi na uzoefu wa kitaalamu kutoa ushauri wa elekezi, mwongozo na suluhusisho za kiutendaji zinazokidhi mahitaji ya wateja katika sekta mbalimbali.