MAONO, DIRA, MAADILI NA SERA YA UBORA
Maono
"To be Africa's leading Bureau in standards, quality and safety"
Dhamira
"To promote standardization and deliver quality assurance services that protect consumers, facilitate trade and enhance market competitiveness of Tanzanian products and services"
Core values
KUSHIRIKIANA
Ushirikiano Tunafanya kazi pamoja kwa kubadilishana uzoefu huku tukiheshimiana ili kufikia malengo ya taasisi.
Uadilifu
Tunahakikisha utoaji endelevu wa huduma kwa uaminifu wa hali ya juu na bila upendeleo kwa kuzingatia kanuni za maadili.
MTEJA
We prioritize customers' needs first therefore committed to responding timely and proactively to their expectations.
Uwazi
Tunahakikisha mawasiliano ya wazi na kutoa mrejesho kwa wadau wetu kwa usawa.
Uwajibikaji
Tutawajibika kwa matendo yetu, uamuzi wetu na matokeo yake katika kutekeleza majukumu yetu.
Sera ya Ubora
“Shirika la Viwango Tanzania (TBS) limedhamiria, kwa kuzingatia dhamana iliyopewa, kutoa bidhaa na huduma bora katika utayarishaji wa viwango, usimamizi wa usalama, uhakiki wa ubora na huduma za metrolojia. TBS inahakikisha inakidhi matakwa ya kisheria, mahitaji na matarajio ya wateja, na hata kuyazidi ili kudumisha uaminifu kwao. TBS hutoa rasilimali na kuendelea kuboresha mifumo ya utendaji wake ili kuhakikisha kwamba wakati wote wafanyakazi wake wana uwezo wa kutoa bidhaa na huduma bora ambazo ni endelevu.”