News
30-01-2025
Check expiry to avoid health risks
Events
-
MAADHIMISHO YA MIAKA 50 YA TBS
21-03-2026Dar es salaam and Dodoma, Tanzania -
EAMET Regional Metrology Conference
28-01-2026Mombasa, Kenya -
Editors Forum
16-09-2025TBS, Ubungo Dar es Salaam
Announcements
-
08-06-2026
The Ministry of industry and Trade through Tanzania Bureau of Standards in collaboration...
-
04-06-2026
Tanzania Bureau of Standards (TBS) wishes to inform all importers of TBS-regulated goods...
-
31-05-2026
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linawakumbusha waagizaji wa bidhaa wanaoomba kibali ch...
Announcements
Posted On: Jan 30, 2025
TANGAZO LA MNADA WA HADHARA
Shirika la Viwango Tanzania (TBS) linapenda kuujulisha umma kuwa kutakuwa na mnada wa hadhara tarehe 15-02-2025, 16-02-2025 na 22-02-2025 katika ofisi ya TBS Ubungo - Dar es Salaam na ofisi za Kanda ambapo jumla ya mali 535 zitauzwa.
Kwa maelezo zaidi tafadhali fungua kiambatanisho kifuatacho;
tangazo la mnada wa hadhara 2025